Wednesday, 16 July 2014

Dr kutoka chuo kikuu Dar es salaam taasisi ya sayansi za bahari,awatembelea kikundi cha ufugaji samaki. KIKUNDI CHA UFUGAJI SAMAKI KUTOKA MTWARA VIJIJINI WAKIWA WAMETEMBELEWA NA DR AVITI JOHN MMOCHI KUTOKA TAASISI YA SAYANSI YA BAHARI ZANZIBAR.KIKUNDI HICHO CHA UFUGAJI WA SAMAKI KIKIWA CHINI YA UFADHILI WA SWISSAID AMBALO HUSAIDIA WAFUGAJI WA SAMAKI KATIKA KUJIKWAMUA KIUCHUMI.
Wafugaji wa samaki ambao ni familia moja wakiendesha maisha yao wakitegemea zaidi shughuli  ya ufugaji kuendesha maisha yao kila siku.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa