Thursday, 10 July 2014

JE ULITAMANI SIKU MOJA UMILIKI BWAWA LA SAMAKI LENYE UBORA NA UIMARA?


1.Picha ya kwanza ikionesha bwawa la kufugia samaki na mifugo mingine juu ya kibanda cha juu ya kufanya mfumo huo mfugaji wa samaki atatumia eneo dogo na lenye kumuingizia kipato zaidi.bwawa hilo linapatikana kijiji cha malela wilaya ya mkuranga mkoani pwani.

2.picha namba 2 ikonesha moja ya bwawa linajengwa kutumia tofali likiwa katika ujenzi,bwawa la aina hii hujengwa zaidi kwenye maeneo yenye ardhi ya kichanga ambapo maji hayatumi kirahisi.
picha namba mbili ni moja

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa