Friday, 11 July 2014

JENGO LA KIFAHARI LA WIZARA YA MAENDELEO MIFUGO NA UVUVI LIKIWA NA PICHA YA SAMAKI..

wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi.
Wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi lililopo jijini Dar es salaam,ni jengo zuri na lenye mvuto wa aina yake likiwa limenogeshwa na picha ya samaki,hii ni kuashiria kwamba bado samaki ana nafasi kubwa sana kwa ajili ya kuleta mageuzi ya kiuchumi kupitia sekta ya uvuvi.Ufugaji wa samaki bado una nafasi kubwa sana kwa ajili ya kuikomboa jamii wa hali zote za kiuchumi kuboresha maisha yao na pato la taifa kiujumla.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa