Monday, 14 July 2014

KALI YA LEO

Hivi unafahamu kilicho jili jana zanzibar.hahahahah eti raisi wa zanzibar alitembelea bwawa moja la kufugia samaki huko mjini unguja,alivutiwa sana na shughuli za ufugaji wa samaki,samaki hao aliowakuta sio wengine bali ni mwatiko au milk fish wataalamu wanamuita hivyo.hahahah mwisho wa siku sasa alitoa ahadi kwa wafugaji hao kutoa fedha ya shilingi za kitanzania milioni moja tu.lengo kuendeleza mradi huo.
jamani kweli raisi na hadhi yake yote anachangia mradi shilingi milioni moja,wakati katika harambee zao wanamwaga tu pesa.

huyo ndio mwatiko a.k.a milk fish

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa