Thursday, 10 July 2014

PENDELEA KUSHIRIKISHA WATAALAMU WA UFUGAJI WA SAMAKI KATIKA KILA HATUA

Mtaalamu wa ufugaji wa samaki moja ya bwawa lililopo mkuranga mkoani pwani,bwawa hilo lililojengwa kwa ustadi mzuri likiwa limepandikizwa samaki madume tu ambao ni aina mojawapo ufugaji mzuri na wenye tija zaidi.
Tank kubwa la maji yakisima yaliyopimwa ambayo hutumika katika mradi wa samaki.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa