Friday, 11 July 2014

SHIRIKA LA UMOJA WA WAFUGAJI SAMAKI WAJENGEWA KITUO CHA UZALISHAJI SAMAKI.......
Wageni kutoka shirika lisilo la kiserikali SWISSAID wakiwa wametembelea moja ya miradi wanayo wafadhili wanavikundi wa shirika la UMOJA WA WAFUGAJI SAMAKI (UWASA) katika mkoa wa Mtwara.Miundo mbinu ni hiyo ni moja ya sehemu ya kituo cha uzalishaji wa vifaranga aina ya pelege (tilapia) katika Mkoa wa mtwara,hivyo hiyo ni moja ya fulsa kwa watu wa kusini kujipatia mbegu bora zitakazo anza kuzalishwa na shirika hilo.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa