Thursday, 10 July 2014

wafugaji samaki fulsa mpya katika mtandao.

habari wafugaji wenzangu wa samaki,kama una maswali,maoni juu ya ufugaji wa samaki tafadhali weka maoni yako hapa..........

2 comments:

Anonymous said...

Ahsante kwa blog hii nzuri yebye lengo la kufundisha.
Ni maswali 2.
1. Upatikanaji wa vifaranga, nahitaji vifaranga vingi vya kambale vyenye ubora mzuri ila sijui nitawapata wapi. Kama kuna anayejua basi naomba unijuze
2. Soko la uhakika la hawa samaki, study ndogo niliyofanya nimegundua kuwa naweza wauza kwenye maeneo ninayoishi ila uuzaji huu hata faida yake inakua kidogo kulingana na eneo nililopo, je kuna kampuni hapa Dar wanaonunua Kambale kwa bulk(jumla)?

Naomba niulize hayo maswali tu kwa leo
Ahsanteni sana

samaki farm said...

wasiliana nasi kwa anuani zetu za hapo juu ya mtandao wetu kwa ajili ya kujua namna kupata hizo hizo mbegu,soko hali shida nini wewe wetu kuzalisha kwa wingi zaidi.
Ahsante.

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa