Friday, 22 August 2014

AINA YA SAMAKI WANAOFUGWA SANA HAPA TANZANIA

 samaki aina ya kambale ambae hufugwa  katika maji baridi(maji yasiyo na chumvi).


 
samaki aina ya pelege au sato hufugwa katika maji ya baridi (yasiyo na chumvi).

 
picha samaki aina ya kamba (prawns) ambao hufugwa katika maji mabwawa ya maji chumvi.Ingawa pia wapo wanaishi maji ya baridi.
Samaki aina ya Mwatiko (milk fish) ambao hufugwa zaidi katika maji chumvi.samaki hawa hufugwa zaidi katika mikoa ya kanda za bahari kama vile Tanga,pwani,Lindi,na Mtwara.

HAO NDIO SAMAKI AMBAO WAFUGAJI WENGI WA SAMAKI NCHINI HUPENDELEA KUFUGA KWA WINGI INGAWA WAPO NA WENGINEO ILA SIO SANA KAMA HAO UNAO WAONA HAPO JUU.
NDUGU MFUGAJI KAZI NI KWAKO KUONGEZA AINA NYINGINE YA SAMAKI KATIKA BWAWA WATAALAMU WAPO KWA AJILI YAKO.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa