Thursday, 7 August 2014

BILA HARAKATI KATIKA FANI HII HATUTATOKA....

moja ya sehemu ya tuta la bwawa likiwa limepandwa nyasi kwa ajili ya kuzuia mmonyoko wa ardhi katika bwawa hilo


mtaalamu akiwa katika moja ya miundo mbinu ya uzalishaji wa samaki iliyoko Mkuranga mkoani pwani.


mtaalamu akiwa ametembelea moja ya bwawa la samaki tayari kwa kutoa ushauri juu ya kile anachokiona kitamsaidia mfugaji wa samaki kupata faida zaidi.

mifugo mingine pia ni rafiki katika ufugaji wa samaki

Mtaalamu wa samaki bwana Emmanuel Maneno akiwa kwenye picha tofauti akiwa kwenye moja shughuli zake za kila siku katika kuhakikisha suala la maendeleo kupitia sekta ya uvuvi na hasa ufugaji wa samaki unashika nafasi yake,kwani kwa muda mrefu fani hii imekuwa haitoi matunda bora kukidhi haja ya watanzania kujiongezea kipato chao,kama inavyotakiwa katika biashara hiyo.
kuweza kuwasiliana na mtaalamu huyo mahili katika fani ya ufugaji wa samaki unaweza kuwasiliane kwa simu namba;0753749992 au  0655749 992 Dar es salaamu Tanzania,hivyo kwa wale walio karibu na jiji wanaweza kuwasiliana na mtaalamu moja kwa moja kwa msaada zaidi.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa