Thursday, 7 August 2014

CHEPE SASA BASIIII


mtaalamu akiwa katika mashine mpya na ya kisasa katika uchimbaji wa bwawa hujengwa kwa siku chache tu na uimara wa hali ya juu.

Mtaalamu wa samaki bwana Emmanuel Maneno asema sasa kutumia jembe la mkono kuchimba mabwawa inatosha,kwa kiwango tulichofikia sasa na sisi kama watanzania tunahakikisha tunapiga hatua kwa kujenga mabwawa bora ya kufugia samaki kwa kutumia nyenzo zilizo bora na za kisasa kabisa.Kwa kufanya hivo mavuno kwa wafugaji wa hapa nchini yatakuwa mazuri zaidi.Hivyo wananchi na taifa litanufaika kiuchumi.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa