Thursday, 7 August 2014

coral reef
Kwa wale ambao bado mpo darasani je unafahamu nini au kitu gani katika hizo picha,.wazungu wanayaita coral reef sisi waswahili tunayaita matumbawe kama sijakosea,yapo ya aina nyingi sana na kila rangi,ila kwa rangi hii ni adimu katika macho yenu,huwa ni dili sana na hasa kwa wazungu wanaojua thamani ya haya mawe,sana sana wenzetu hutengenezea pete ambayo huuzwa kwa bei kubwa sana,lakini hii isipelekee sisi kuharibu maliasili zetu kwa ajili ya tamaa ya fedha.
TUTUNZE MALIASILI ZA BAHARI NA KWENYE MAZIWA KWA MANUFAA YETU YA LEO NA KESHO KWA VIZAZI VIJAVYO.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa