Friday, 22 August 2014

HAKIKA MAISHA NI SAFARI NDEFU.....


Ngazi ya shule ya msingi,kama mazingira magumu ya masoma,bila hatakujua utakuwa nani katika nchi hii au duniani kwa ujumla.


Mungu anaendelea kubaliki kuelekea ngazi ya sekondari ukianza sasa kupata matumaini na kuanza kuona umuhimu wa ulikotoka bila kujali shida na taabu unaendelea kupambana kwa matumaini na shida za hapa na pale.
Mpaka unafika chuo sasa na kujua sasa usha andaliwa mtaalamu wa fani fulani,ambae utasaidia taifa na ulimwengu pia.

WANAJESHI

WATAALAMU WA AFYA

WATAALAMU WA FANI ZA SAMAKI,NA SAYANSI MBALIMBALI ZA MAJINI NA VIUMBE WAKE

VIONGOZI WA NCHI AMBAO WANAWAKILISHA TAIFA KATIKA NCHI ZA KIGENI N.K
HAKIKA NCHI SASA IMEPATA WATU KATIKA SEKTA TOFAUTI TOFAUTI,NA VIONGOZI MBALI MBALI.
Hatua hizi za maisha ndivyo ilivyo hata kwenye miradi ya kiuchumi,unaweza kuanza chini kabisa kwa taabu na shida nyingi sana,na hata wewe kujua lini utakula matunda ya miradi yako,maisha sio kukata tamaa changamoto katika miradi ipo na kitu ambacho kina mwisho wake, na ukianza kupata mafanikio utasahau kama ulikutana na changamoto hizo.
Mungu akuongoze vema wewe mwenye mradi ya ufugaji wa samaki usisite kufanya kwa kuhofia changamoto,fanya wataalamu wapo kwa ajili ya kukusaidia.
NAAMINI KWA KUPITIA PICHA HIZO UMEWEZA KUJIFUNZA KITU KATIKA MRADI/MIRADI YAKO.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa