Friday, 22 August 2014

HAKIKA NCHI YETU IMEBARIKIWA SANA MAJI

Picha ya ramani ya nchi ya Tanzania ikiwa inaonyesha mito,maziwa na bahari,vyote hivyo ni vyonzo vizuri vya uchumi wa nchi yetu katika kutupatia maendeleo,kuna baadhi ya nchi neema hii ya vyanzo vya maji ya kutosha,tunauwezo wa kuyafanya vyovyote vile haya maji ili iweze kuzalisha fedha na kukuza uchumi wa nchi.Maji yametawala kila mkoa.Ni muda sasa umefika kuyafanya maji hayo kutengeneza fedha kwa njia rahisi bila kuiangalia serikali,kwani serikali peke yake haiwezi kukamilisha na kukidhi haja ya kila mtu ila ukianza serikali utakapo kwama itakuinua,ndivyo nchi za wenzetu zilivyoendelea,sio swala la kulaumu serikali wakati maji yapo shambani kwako,chimba bwawa weka samaki wavue serikali watakushtaki?Hili lilikuwa ni swali dogo sana likimaanisha kuwa tumia ardhi ulinayo katika ukuaji wa kiuchumi.
TUACHE UVUVI NA KUSITA SITA KATIKA KUCHUKUA MAAMUZI BINAFSI KATIKA KUKUZA UCHUMI WA NCHI NA KWAKO PIA TUMIA RASILIMALI INAYOKUZUNGUKA KUTENGENEZA PESA IKUSAIDIE,YATUMIE MAJI SASA KAMA NJIA MBADALA YA KICHUMI KATIKA USIACHE MAJI YAKIPOTEA BILA FAIDA.

 
Lakini pamoja na vyanzo vyote vya maji inakuwaje watoto hawa wanataabika na maji hali yakuwa ni kipindi cha darasani.Inauma sana tukitegemea hawa ndio viongozi na wataalamu wetu wa Taifa la kesho.
EEH MUNGU PAMOJA NA YOTE WAONEE HURUMA WATOTO HAWA NA WENGINEO WANATAABIKA KWA AJILI YA KUJA KUJENGA TAIFA LAO NA ULIMWENGU PIA.0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa