Monday, 4 August 2014

JIHADHALI SANA NA MDUDU HUYU HATARIII


Kwa lugha ya kigeni anaitwa OTTER kwa majina mengine anafahamika kama fisi maji au mkuyu kwa upande wa kusini ambalo ndio jina maarufu sana,mdudu huyu kama unavyomuona katika picha huingia ndani ya bwawa kwa kuzamia na kuanza kula samaki,kuwa makini na ulinzi dhidi ya mdudu huyu,hunyemelea sana samaki nyakati za jioni,na hula kiurahisi zaidi pindi tu pale maji yanapokuwa yamepungua ndani ya bwawa.Hakikisha eneo lako haliko mbali na vichaka ambao wadudu hawa huishi.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa