Thursday, 7 August 2014

KUPITIA SAMAKI TU PEKEE INAWEZEKANA...


PICHA YA MINOFU YA SAMAKI AINA YA SATO (TILAPIA,PELEGE)

PICHA YA SAMAKI AINA YA SATO(TILAPIA) AMBAE AMEVULIWA KUTOKA KWENYE BWAWA TAYARI KWA KUCHAKATWA NA KUUZWA SOKONI.

PICHA IKIONESHA WATAALAMU WA SAMAKI KUTOKA CHUO CHA UVUVI KILICHOPO BAGAMOYO,NI CHUO PEKEE AFRIKA MASHARIKI NA KATI KINACHO FUNDISHA VEMA MASUALA YA UVUVI NA SAMAKI KWA UJUMLA

  • WATAALAMU TUNAO
  • VYANZO VYA MAJI TUNAVYO
  • SAMAKI WAKUZALISHA MBEGU TUNAO
  • MIUNDO MBINU TUNAYO.
  • KWANINI VIJANA TUNABWETEKA WAKATI NYENZO ZIPO?
  • HAPO UTASIKIA SWALI LA KWANZA TATIZO MITAJI?LAKINI JE KABLA YA KUFIKILIA MTAJI ULISHA KUWA NA WAZO AMBALO LITAKUPELEA WEWE KUPATA MTAJI.
  • JE ULISHATAFAKALI KUTAFUTA WAFADHILI KATIKA MITANDAO KUPITIA FANI YAKO.VIJANA TUSISITE KUFANYA KITU KWA KUWA TUMETAWALIWA NA HOFU YA MAISHA,NAAMINI KILA KITU KILICHO CHINI YA JUA UKIAMUA KINAWEZEKANA.
  • MIMI NA WEWE TUAMUE LEO ILI TUPATE MATOKEO YA KESHO KWETU NA KWA TAIFA.
  • TUJADILI KATIKA MTANDAO HUU WAPEKEE KATIKA HARAKATI ZA MAENDELEO KWA WATANZANIA.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa