Monday, 4 August 2014

WAZUNGU KUTEMBELEA MAENEO YA UZALISHAJI WA MBEGU ZA SAMAKI


P
Picha zikionesha wazungu wakitembelea miradi ya samaki inayo endeshwa na wafugaji wa samaki,ujio wa wazungu hao kutoka nchi ya Uingereza na  Ujerumani ni moja kudhihilisha kuwa bado mradi wa samaki unatija na nguvu ya kuinua kipato cha watu wa chini na hata waliojuu kuzalisha zaidi,kwa miaka mingi wafugaji wengi nchini wamekuwa wakifuga samaki lakini bado wengi wao wamekuwa wakifuga samaki wakiwa wadogo au kutokuwa kufikia kiwango husika cha ukuwaji wa samaki hao.Hivyo bado wananchi wanahamasishwa kuto kata tamaa na miradi hii ya ufugaji wa samaki hapa nchini kwani bado fani ni changa na yenye changamoto nyingi kwa wafugaji.Naamini uwepo wa blog hii itawasaidia watu walio wengi ambao na fursa ya kuanzisha miradi ya samaki kama nyenzo ya kujiongezea kipato na ajira kwa ujumla.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa