Wednesday, 22 October 2014

unafahamu neno CANNIBALISM


 unafahamu neno cannibalism hebu ona matokeo ya hilo neno alafu niambie umegundua nini.

 picha za samaki aina ya kambale wamelundikana katika sehemu moja,hii ni moja ya adhali inayopelekea kutokea kwa neno cannibalism
picha ya bwawa la samaki,hii ni kuonesha kwamba uwekaji wa samaki katika bwawa liwe na idadi maalum,lisije kutengeneza neno cannibalism

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa