Thursday, 23 October 2014

Usiruhusu bwawa kuwa katika hali hii hizo ni picha za bwawa la samaki,wafugaji waliowengi huona fahali sana majani kama hayo kuota juu ya bwawa la samaki,Mfugaji futa sasa hiyo fikra...fanya kama huyu mfugaji wa chini alivyo fanya..

bwawa la kufugia samaki likiwa katika hali ya usafi na kuvutia,bwawa kama hili ni lakuigwa na wafugaji wa samaki,hakikisha bwawa lako linakuwa safi na lakupendeza muda wote,hakikisha uoto wa kijani linazunguka bwawa lako kwa kulima mboga mboga na migomba kama picha inavyojionesha hapo juu.
bila shaka kupitia picha hizo utakuwa umejifunza kitu.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa