Thursday, 22 January 2015

mavuno mazuri ndio matarajio yetuPicha zikionesha hatua mbali mbali za uvuahi wa samaki baada ya kusubili kwa muda miezi kadhaa mpaka samaki kufikia hatua ya mavuno.Hakika sasa ni wakati wa watanzania kuwatumia wataalamu wetu katika kujiongezea kipato kukuza uchumi binafsi na taifa kwa ujumla.

AMKA MTANZANIA MWENZANGU UNASUBIRI NINI KUFUGA SAMAKI?


0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa