Thursday, 22 January 2015

Popote AQUES LTD Itakupa somo.


 Picha zikimuonesha Bw Emmanuel Maneno na Bw Musa saidi Ngametwa Wataalamu wa ufugaji wa samaki waliovalia suti nyeusi wakitoa somo kwa mfugaji wa samaki,siku hiyo iliyofanyika tukio la ufunguzi wa bwawa la kisasa la kufugia samaki huko mbezi luis linalomilikiwa na Balozi mstaafu Prof Lucas N.Saronga.

 Picha ikionesha watu mbalimbali waliohudhulia katika sherehe ya ufunguzi wa bwawa hilo,licha ya kutembelea tu hapo watu hao walipata fulsa ya kuzungumza na wataalamu walio simamia mradi huo mpaka kukamilika kwake,kwa ajili ya kujifunza namna ya kufuga samaki na kupata kipato.
Wataalamu wa samaki kutoka kulia ni Bw Musa saidi Ngametwa na kushoto ni Bw Emmanuel Maneno wakipeana mkono wa pongezi baada ya kukamilisha mradi huo wa kisasa na wapekee hapa Dar es salaam.

HAKIKA KILA KITU KINAWEZEKANA...

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa