Thursday, 22 January 2015

SAFI SANA KWA KITENDO HIKI..

 Hakika mfugaji huyu anapaswa kupongezwa na kuwa mfano wa kuigwa kwa wengine.Ni wafugaji wachache sana hapa nchini wenye tabia za kupima uzito na kuangalia maendeleo yao,kwa wafugaji walio wengi hapa nchini wakisha pandikiza samaki ndani ya bwawa hawana utaratibu wa kuangalia na kupima uzito ili kujua maendelao ni mazuri au hafifu,na hatua ipi aifuate ili apate mavuno bora kwake kwa ajili kukuza uchumi wake.


Picha za samaki aina ya sato (TILAPIA) ambao wametolewa nje ya bwawa kwa dakika chache kwa lengo la kufanyiwa uchunguzi kutambua maendeleo ya samaki.

WAFUGAJI WANZANGU TUJIULIZE TULISHAWAHI KUFANYA KITU KAMA HIKI?
NA JE ULICHUKUA HATUA GANI?
IMANI YETU KUWA KWA SASA TUTABADILI TABIA NA KUWA WAFUGAJI BORA WENYE KUFUATILIA MAENDELEO YA SAMAKI WAKIWA BWAWANI KABLAYA KIPINDI CHA MAVUNO,ILI TUTOE MAVUNO BORA NA YENYE TIJA.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa