Thursday, 22 January 2015

WAANDISHI WA HABARI KAZI KWENU KUTANGAZA HII FULSA KWA JAMII

 Picha ikionesha mwandishi wa habari akirekodi video inayo onesha mfugaji wa samaki huko mkuranga akitolea maelezo namna ya alivyoweza kutekeleza na kufanikiwa katika mradi huu wa ufugaji wa samaki.Hakika mchango wa vyombo vya habari vina nafasi kubwa sana katika kutoa nakala zinazohusu masuala mazima ya ufugaji wa samaki ili kila mtanzania aweze kufahamu fulsa mpya zinazopatikana ,kukabiliana na upungufu samaki ambao bado unaendelea mpaka sasa.

Mtaalamu wa mradi bw Emmanuel Maneno aliye valia fulana ya mistari ,akiwa na wageni waliotembelea mradi huo wa ufugaji wa samaki unaotekelezwa huko maeneo ya Mkuranga mkoa wa Pwani.

WA ANDISHI WA HABARI HAKIKA MNA NAFASI KUBWA SASA KUANGALIA FULSA HII YA UFUGAJI WA SAMAKI KWA AJILI YA  KUWAPA HABARI WANANCHI NA KUWAPA NAFASI WATAALAMU WALIO GHARAMIWA NA SERIKALI WAWEZE KUWATUMIKIA WANANCHI IPASAVYO.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa