Tuesday, 3 February 2015

KUMBE INAWEZEKANA BWAWA LA SAMAKI IKIWA SEHEMU YA BURUDANI..
Inawezekana kabisa kufanya ujenzi wa bwawa la samaki na pia sehemu kuburudika,pindi unapokuwa umechoka,unahitaji kujisomea,kufanyia maongezi eidha na ndugu,jamaa au marafiki.Hili ni moja ya bwawa la kufugia samaki lililopo Mbezi luis Dar es salaam lililobuniwa na wataalamu waliobobea katika fani ya ufugaji wa samaki,Aques ltd.Watu wakiwa katika pozi tofauti wakishangaa na kupiga soga wakiwa katika sehemu ya bwawa hilo.KWA KWELI UFUGAJI WA SAMAKI NI SHUGHULI RAFIKI NA MIRADI MINGINE,UMESHAFIKILIA KUTENGEZEWA BWAWA KAMA HILI KWA USTADI MKUBWA ZIAIDI.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa