Friday, 27 March 2015

PENDELEA KUTEMBELEA MIRADI YA WENGINE KUJIFUNZA

Baadhi ya wafugaji wakipokea maelezo kutoka kwa mwenye shamba hilo la samaki mkoani arusha.

 
Mjumbe aliyetembelea mradi ajaribu kutolea ufafanuzi wa jambo fulani.

Ndugu mfugaji ulishawahi kujifunza kutembelea miradi ya wenzako kabla ya kuanza wa kwako?.kuna faida kubwa sana kujifunza kwa vitendo kabla ya kuanza kutembelea miradi ya wenzako,kuna mengi utajionea ambayo hukuyafikilia katika fikra zako kama itakuwaje,utaona mambo mengi mazuri na pia utajionea mapungufu ya wenzako kuweza kuboresha kwa wenzako.Kampuni yetu pia inatoa nafasi ya tour kutembelea miradi mbalimbali ambayo utajifunza mambo mengi sana,tutakuunganisha na wafugaji wenzako ili ujifunze kitu fulani,hakika kujifunza sio ujinga na ni jambo jembo sana.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa