Wednesday, 13 May 2015

MVUA ZALETA MAAFA KATIKA MABWAWA YALIYOJENGWA CHINI YA KIWANGO

 
Mvua zinazo endelea kunyesha hapa nchini kwa sasa zimezidi kuleta maafa zaidi kupelekea mabwawa mengi yaliyojengwa chini ya kiwango kuanguka kwa kuta za bwawa hizo,picha ikionesha bwawa likiwa katika matengezo baada ya kupata maafa.Wataalamu wanashauri ujenzi imara ilikuweza mabwawa yawe yakudumu na sio ya kiwango cha chini kama ilivyotokea kwa mfugaji huyu.


 picha za bwawa zikiwa katika marekebisho kwa kuweka nguzo kuzunguka kuta za bwawa.

 Picha za bwawa kabla ya maafa kutokea.
Wafugaji wa samaki tunashauri kufuta kanuni bora za ujenzi wa mabwawa kupitia wataalamu waliokuwa na taaluma sahihi ya ujenzi wa mabwawa ya samaki.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa