Saturday, 14 November 2015

AQUES BADO TUPO HATUJAPOTEA

 
Habari ndugu watanzania tunaomba radhi kwa kutokuwepo  hewani muda mrefu,hii ni kutokana na majukumu na mazingira tunayokuwepo ya kazi.Sasa tumerudi tena kupashana kile kinacho endelea katika biashara hii ya ufugaji samaki...Kiukweli sasaivi kumekuwa na wataalamu feki wengi hususani katika miradi hii ya ufugaji wa samaki hapa nchini.Angalizo ndugu mfugaji au uliyembioni kutaka kufuga samaki,kuwa makini soma sana kiundani juu ya mradi wa samaki uepuke kutapeliwa.
Hivi umeona wapi mtu aliyepata kozi ya siku moja na yeye akajiita mtaalamu na anza kutoa huduma.Tuwe makini na watu hawa kwani wapo wengi sana sasaivi.
AQUES LTD ni blog inayoendeshwa na wataalamu waliobobea katika fani hii ya ufugaji samaki akiwemo gwiji au mtaalamu nguli kutoka BAGAMOYO Bw A.LISHELA na wataalamu wengine.
AQUES LTD Infuraha kwa kutoa elimu bora na uhakika na watu walipata huduma hizi wamenufaika kwa vile walivyoweza kufuata kanuni na taratibu za ufugaji samaki.
AQUES LTD pia inajivunia kufanya kazi karibu mikoa yote ya tanzania hivyo huelezea mada kulingana na uhalisia wa eneo husika na sio vingenevyo..mfano hali ya hewa ya mafinga mkoa wa iringa ni tofauti na hali ya hewa mkoa wa mtwara..hivyo AQUES LTD hutoa somo kulingana na mazingira.
Endeleeni kufuatilia na kusoma zaidi blog yetu Ahsante.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa