Wednesday, 2 December 2015

DUUH UNAFAHAMU SAMAKI GANI HUYU......

Hiyo sio picha ya kuhaririwa,ni picha halisi kabisa,hahahahah inafurahisha sana kuona kuna viumbe vingi na vya ajaabu sana duniani,unaweza kujiuliza sana samaki je analiwa,hilo tumbo au ndio umbo lake,hakika kwenye maji kuna vitu vingi vilivyo jificha ,lakini kwa aques ltd itafichua.
Bado najua unahamu ya kufahamu na kutaka kujua ni samaki huyo..Leo tunahitajio maoni yako kutujia ni samaki gani huyo na anapatikana wapi?.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa