Wednesday, 2 December 2015

FAHAMU UHIFADHI BORA WA SAMAKI WAKO.

AQUES LTD pia inatoa elimu juu ya uhifadhi na uchakataji samaki ili wafike kwenye masoko wakiwa na ubora unaotakiwa.
Kwa mtu yeyote anayehitaji kujifunza na kutaka kujua namna ya kuhifadhi samaki wako wasiliana nasi kwa mawasiliano yetu hapo juu,huenda mfugaji ukawa tayari umevuna samaki wako sio lazima upeleke wakiwa wa bichi sokoni unaweza kuhifadhi na kukausha vizuri ili kuongeza thamani ya bei kwa samaki wako.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa