Wednesday, 2 December 2015

SIO SATO NA KAMBALE TU WANAOFUGWA..

Kampuni ya AQUES LTD haifanyi kazi ya kufuga samaki aina kuu mbili tu pekee yake bali inafanya kazi mbali mbali za ufugaji viumbe maji,hiyo ni picha mojawapo wa samaki maarufu kama kamba kochi au Robuster kwa jina la kigeni.
ufugaji wa samaki huyo anahitaji maji chumvi au mazingira ya pwani kampuni yetu inahikikisha jamii ya kitanzania ya leo inakuwa yenye mtazamo mzuri juu ya kufahamu vema ufugaji wa samaki ili kuwekeza sehemu mbalimbali za nchi.
Hivyo kwa wale waishio kanda za pwani bado fulsa ya ufugaji wa samaki klwa maji chumvi bado ni mkubwa sana AQUES LTD inafanya kazi kwa weredi mkubwa kuhakikisha sekta ya uvuvi kupitia ufugaji samaki unakuwa na nguvu kubwa kuweza kuliingizia taifa pato la kutosha.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa