Wednesday, 2 December 2015

UFUGAJI WA KAMBALE UNALIPAAAA

Moja ya picha ya mr Emanuel akiwa ameshikilia kambale aliye mfuga kwenye bwawa kwa muda wa miezi 8 akiwa na uzito wa zaidi ya kilo moja.
chamsingi ndugu zangu suala la ufugaji ushirikiano wako na mtaalam ili kufikia malengo.
usisite kuhusu soko la samaki wataalamu wa AQUES LTD ni moja ya jukumu lao kuhakikisha soko linapatikana la uhakika bila shaka.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa