Wednesday, 2 December 2015

UKAGUZI WA ENEO NI MUHIMU SANA KABLA YA MRADI

 Picha ikionesha mtaalamu kutoka kampuni ya AQUES LTD akishuka kutoka kwenye gari tayari kwa kazi ya ukaguzi wa eneo kabla ya mradi wa ufugaji wa samaki.
 Wataalamu waandamizi wakiwa katika moja ya majukumu yao ya kuhakikisha mabwawa wanayojenga yanakuwa katika ubora unatikiwa ili mradi uwe na tija kwa mfugaji.
 Bwawa lililojengwa kiustadi mkubwa sana na wataalamu wa AQUES LTD likiwa katika ubora na viwango vinavyotakiwa.
Bwawa likiwa limekamilika kabisa na tayari samaki wamo ndani ya bwawa.
Ngugu mtanzania usiwe na tabia ya kufanya kazi mwenyewe pasi kuwa na wataalamu wazuri na waaminifu katika kazi,pia AQUES LTD inasisitiza kabla ya kuanza mradi ni vema kabisa ukaanza kuwaona wataalamu ili kujua wanakusaidiaje kufanya mradi wako mzuri bora na wenye tija na mafanikio pia.
Kuwa muangalifu usinunue eneo unalo tarajia kufanyia mradi wako bila kushirikisha wataalamu kwani sio kila sehemu infaa kufugwa samaki.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa