Thursday, 21 January 2016

AQUES INAKUJUZA NAMNA YA KUDHIBITI WADUDU KWENYE BWAWA LAKO.

Wataalamu wa kampuni ya AQUES ltd inazidi kutoa somo kwa kila kinachojili katika biashara hii ya ufugaji wa samaki,kumekuwa na maswali mengi juu ya namna ya kudhibiti wadudu hatarishi wanaokula samaki ndani ya bwawa.Moja ya njia rahisi sana ya kudhibiti wadudu hatarishi ni kuweka uzio imara ambao utazuia kuingia kwa wadudu kama vile nyoka na kenge na wadudu wengine hatari,hivyo uwekaji wa nyavu kama picha unavyoiona hapo chini.Faida kubwa ya uwekaji wa wavu au uzio kwenye bwawa ni kulifanya bwawa lako kuwa salama na kuhakikisha kuwa unatoa mavuno bora na tarajiwa kama vile wataalamu wanavyopendekeza.
 PICHA YA BWAWA LA SAMAKI LIKIWA KATIKA HALI NZURI YA USALAMA KWA KUWEKWA WAVU AMBAO UNAZUIA WADUDU HATARISHI.
MOJA YA MABWAWA KATI YALIOMENGI AMBAYO HAYAWEKWI KATIKA NZURI HASA UZIO AU ULINZI ILI KUTHIBITI WADUDU HATARISHI KATIKA SHUGHULI NZIMA YA UFUGAJI WA SAMAKI.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa