Monday, 25 January 2016

AQUES LTD WAKIZUNGUMZA NA WAGENI TOKA DENMARK.

Tanzania sasa mirango ipo wazi kwa uwekezaji wa ufugaji samaki
hii ni kutokana na ukweli kwamba Tanzania ni moja ya maeneo bora kwa ufugai samaki katika ukanda wa Africa hivyo basi kwa kuwa maji yakutosha yanapatikana, Ardhi bado ipo ya kutosha, na wataalamu sasa wanapatikana  usisubiri wageni kutoka nje wawekeze anza sasa . wakati ni leo.
Mkurugenzi AQUES LTD. akitoa maelekezo kuhusu maeneo yanayo faa kwa ufugaji samaki hapa Tanzania


Maelezo mazui kuhusu fursa za uwekezaji wa ufugaji samaki zilimfanya Mgeni afurahie sana na kuamua kusimama na kutoa zawadi ambazo zitasaidia zaidi katika ufanisi wa kazi.


Hii ni picha ya pamoja na na wageni wetu baada ya mazungumzo kukamilika

 

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa