Thursday, 21 January 2016

AQUES LTD YAZIDI KUPATA MARAFIKI,NAMAINGO BUSINESS AGENCY TANZANIA SASA NI RAFIKI MPYA WA AQUES LTD

 Mr Boniface Owino aliyevalia shati ya pinki akiwa katika moja ya mazungumzo na Mkuregenzi wa AQUES LTD A.LISHELA kujadili juu ya namna bora ya kufanya kazi ya kumfikia kila mtanzania juu ya huduma hii ya ufugaji wa samaki.Hii ni habari njema sana kwa wafugaji wasamaki hapa ,kushirirkiana katika utekelezaji wa kazi husaidia pia kufikiwa kwa huduma haraka zaidi.
 mr B.Owino akiendelea namazungumzo na kiongozi mkuu Managing Director Mr Emmanuel Maneno katika kujadili namna ya kufanya kazi pamoja ili kuleta tija kwa wananchi.


Picha mbalimbali zikonesha mazungumzo ya Kikao maalamu kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa kazi ya kuhudumia watanzania.
Karibu na wewe uwe rafiki na AQUES LTD HAKIKA UTAFAIDIKA.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa