Sunday, 24 January 2016

KIFAA MAALUMU CHA KUVULIA SAMAKI WAKO.

Wafugaji sana wamekuwa wakijiuliza sana juu ya kuvua samaki hususani kwa wafugaji wadogo wadogo wa majumbani namna ya  kutoa samaki kutoka kwenye mabwawa.Ni kifaa chepesi na rahisi sana kupatikana ni rahisi pia kutumia,wazungu hukiitwa Scoop net,ya ni kifaa cha kuchotea samaki kama utakavyo jionea hapo chini.Kifaa hiki huchota samaki wachache ambao muhusika huvua kwa siku atakayo bila kuathiri maisha ya samaki wengine kwenye bwawa.
Usiulize unakipata wapi wasiliana nasi na upewe elimu zaidi ya kujua namna ya kukipata na kukitumia kifaa hiki.
SCOOP NET KIFAA CHA KUVULIA SAMAKI

KIFAA CHA KUVULIA SAMAKIK KINAVYOFANYA KAZI.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa