Saturday, 16 January 2016

MMHH KWELI HUYU KIONGOZI HAPENDI UZEMBE KWENYE KAZI.

 Mtaalam na kiongozi mkuu wa kampuni ya AQUES ltd akikemea vikali mafundi ujenzi waliojenga mabwawa chini ya kiwango kinachohitajika. Mkuu huyo alifanya ziara hiyo ya kushtukiza katika wilaya ya mkuranga mkoani pwani.
pia alitoa onyo kwa watu wasio na fani hii kukaa mbali kabisa kuliko kudanganya umma wa wa Tanzania na hususani kwa watu wanao taka kufanya biashara hii.

Picha ya bwawa likionekana katika hali ya mapungufu ambayo mkuu huyo ambaye pia mtaalam maandalizi akikemea vikali.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa