Thursday, 21 January 2016

ONDOA HOFU NA SOKO LA SAMAKI AQUES LTD IPO KWA AJILI YAKO.

Fanya biashara ya ufugaji wa samaki pasi na shaka yeyote ya kufikilia soko la samaki nitalipata wapi.AQUES LTD katika kuimarisha kazi kwa mwaka huu sasa imejipanga vizuri kuhakikisha kuwa kila mfugaji wa kiwango chochote kile anapeleka mazao yake sokoni bila shida na usumbufu wowote ule,fanya mawasiliano na uongozi sasa kukupata fulsa ya kupata soko bora na la uhakika.
 Picha ya kiwanda cha uchakataji wa minofu ya samaki ambapo sasa samaki kutoka kwenye mabwawa,hii ni kuonesha kuwa wafugaji wa samaki wasiwe na wasiwasi na soko la samaki.
 Musa S.Ngametwa Technical manager akiwa katika moja ya majukumu yake ya kazi kuhakikisha kuwa wafugaji samaki wanapata soko bora la ukakika.
 picha ikionesha moja ya shughuli ya uchakataji wa samaki ukiendelea.
samaki waliochakatwa vizuri tayari kwa kuhifadhiwa.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa