Thursday, 21 January 2016

WAFUGAJI TUNAWAOMBA KUFUATA KANUNI BORA ZA UFUGAJI.

Ndugu wafugaji wa samaki,tunawaomba sana kuzingatia kanuni na taratibu bora za ufugaji wa samaki kama tunavyoelekeza katika semina mbalimbali na kwenye mitandao yetu.Kama unavyotazama picha hapo juu bwawa lina maji machafu sana kinyume na taratibu na kanuni na taratibu za ufugaji.Tujifunze sana kutoka kwa wenzetu na kufuata yale wataalamu wanchokieleza.

Madhara makubwa ya samami waliothirika na uchavuzi maji hali inayopunguza uzalishaji wa samaki.

samaki aliyekufa kutokana na uchafuzi wa maji kwenye bwawa.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa