Monday, 29 February 2016

AQUES LTD IKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUELIMISHA JAMII KATIKA BIASHARA YA UFUGAJI WA SAMAKI.


 Mtaalamu Musa Ngametwa kutoka kampuni ya AQUES LTD akimpatia maelezo mmoja wateja waliojitokeza katika maonesho yaliyo fanyika ukumnbi wa magereza Ukonga Dar es salaam.
 Mkuregenzi wa Kampuni ya Aques ltd akitoa utambulisho na kueleza kazi kubwa wanazozifanya katika kusaidia wajasiriamali hapa nchini katika biashara hii ya ufugaji wa samaki.

 Wadau mbalimbali walio hudhulia semina hiyo kubwa wakisikiliza kwa makini maelezo yanyotolewa na wataalamu.

Wadau mbali walifika katika banda la maonesho la AQUES LTD kujifunza kwa kuona bidhaa mbalimbali za AQUES LTD.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa