Monday, 29 February 2016

KAA TAYARI SASA KWA KUPATA VIPINDI VYETU KUPITIA AZAM TV.

Katika kuhakikisha kuwa Aques inazidi kuwafikia na kusaidia jamii inapata mafanikio zaidi kupitia ufugaji huu wa smaki,sasa imeanza kurekodi vipindi maalum vitakavyo rushwa hewani kupitia Azam Tv ili kutoa fulsa kwa kila mtanzania kujifunza na kuona shughuli za ufugaji wa samaki zinafanyika hapa nchini.Picha mbalimbali zikionesha hatua mbalimbali za kurekodi kipindi cha ufugaji wa samaki .

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa