Hivyo ni vifaranga vya samaki aina ya sato wakiwa kwenye ndoo maalum kwa ajili ya kusafirishwa.Wafugaji ushauri tunaopenda kuwapa sio kukurupuka katika kununua mbegu,nunua mbegu bora,kwa wewe binafsi kama mfugaji huna uwezo wa kutambua mbegu nzuri ni zipi ni lazima umshirikishe mtaalamu.Aques ipo kwa ajili itumie sasa.
0 comments:
Post a Comment