Monday, 29 February 2016

WAKATI WATU WANAFELI WAPO WANAOFAULU KUPITIA AQUES LTD

ANGALIA SAMAKI WAKO KAMA WAMEFIKIA UZITO STAHIKI WA KUUZWA SOKONI.
 Wakati watu wengi sana wakilalamika kutopata mafanikio kupitia biashara hii ya ufugajiwa samaki ,lakini wapo wafugaji wanaofanikiwa kupitia ufugaji wa samaki,Fuatenin kanuni na taratibu za wataalamu ili kufikia mafanikio kama wengine.
FANYA MAWASILIANO NA MTAALAMU KUHAKIKISHA SAMAKI WAKO WANAFIKA SALAMA  NA UBORA UNAOTAKIWA ILI KUONGEZA THAMANI YA UBORA.

MUONEKANO WA HALISI BAADA YA KUPATIKIA SAMAKI KATIKA GARI LA KUSAFIRISHIA SAMAKI ILI KUHAKIKISHA WANABAKI KATIKA UBORA WAKE.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa