Tuesday, 12 April 2016

KAMBALE KATIKA MAANDALIZI YA UKAUSHWAJI.

Samaki aina ya kambale ni moja ya kitoweo kizuri sana hapa duniani na mwenye mnofu sana na pia ni mtaamu.
walaji wengi hupenda sana kambale aliye kaushwa vizuri,karibu sana upate kujua unawezaje kukausha samaki wako ili kuongeza thamani ya samaki wako.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa