Tuesday, 12 April 2016

SATO NI MOJA CHAKULA SAFI DUNIANI.

Aques ltd katika kukuoneshea namna huanzia katika hatua za uzalishaji mpaka hatua ya mwisho kwa mrajio,hebu jioinee picha hiyo ya samaki aina ya sato aikiwa ameandaliwa vizuri na tayari kwa kuliwa,lazima watu wawe wabunifu katika miradi yao ilikuongeza thamani ya mazao,huyo ni samaki aliyefugwa vizuri akiwa hoteli kubwa na akiuzwa kwa ghali sana.
Badilika sasa jifunze kuwa mbunifu katika biashara yako.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa