Thursday, 14 April 2016

VIJANA WENZANGU TUNATENGENEZA MAZINGIRA YA KUZIPATA NA KUZITUMIA FURSA ZINAPOKUJA AU KUTOKEA?

Kiukweli akili za vijana baadhi yao wamekuwa na fikra za kusubiri kupikiwa yeye afike na kula,hali ya kuwa hata kama kulikuwa na unga jiko na maji kitendo cha yeye kuomba ridhaa tu ili apike na kukamilisha ugali wake ili aweze kula.Hapo kuna fumbo kidogo hakika nchini yetu na viongozi wetu wamefanya juhudi kubwa sana za kutafuta watu mbalimbali kuja hapa nchini kwa ajili ya uwekezaji,sasa zinapotokea nafasi fulani hawataki kabisa kaja nani kasema nini malengo yake nini ?sasa baadhi ya vijana wajanja ambao ni makini katika kufuatilia jambo fulani wakati huo huambiwa anapoteza muda habari wanaangalia wazee.Hakika hiyo ni kauli ya maudhi ya kukatisha tama na mauudhi ndani yake,lakini kwa kijana anaye jitambua vizuri katika hilo hujitahidi mpaka hatua ya mwisho na mungu humuongoza vyema na hatiame hufanikiwa japo safari yake haikuwa fupi kama unavyoweza kuisoma hapa.
Sasa yule aliyekubeza anaanza kukufuata na kukuomba uamfanyie mpango ili nayeye apate kazi,hiyo ndio mfumo wa vijana hataki kabisa kuumiza ubongo wake atafanikiwa vipi?.
vijana wenzangu tubadili fikra na mawazo yetu mafanikio yetu yapo kwenye kichwa chetu ni juhudi tu pekee ndio zitatuvusha hapa tulipo.
TUZICHANGAMKIE FULSA PALE ZINAPOTOKEA,

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa