Tuesday, 31 May 2016

FIKIRI KABLA YA KUTENDAAA....

 Fikiri kabla ya kutenda ni kauli kubwa sana na yenye maana ambayo kama utaitumia vizuri itakuwa na tija kwenye kila kitu chako unachotaka kufanya.
Unafikiria nini kabla ya kuanza kufuga samaki?unafikiria kufuga samaki aina gani?chanzo chako cha maji kipoje na ukubwa wa bwawa lipoje? hivi ni vitu vya msingi sana katika mradi wa ufugaji wa samaki kabla kuamua kufanya jambo lolote unapaswa kufikilia kwanza.
maji ni kiini kikubwa sana katika ufuaji wa samaki,Katika picha hizi kuna picha samaki na maji hivi ndio vitu vikubwa na vya msingi kuvijua kwanza.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa