Saturday, 14 May 2016

KARIBUNI TANZANIA TUWEKEZE KWENYE MIRADI YA UFUGAJI WA SAMAKI.

 Mtalaamu na kiongozi wa kampuni ya AQUES LTD Mr Emmanuel Godfrey akiwaelezea jambo Fulani wageni kutoka nchini marekani kupitia mbunge wa jimbo la Bagamoyo Mh:Mbunge Shukuru Kawambwa ili kuwekeza katika mji wa Bagamoyo ili kutoa fursa kwa wananchi kujiletea maendeleo kupitia miradi ya ufugaji wa samaki ambayo kwa sasa Aques ltd imekuwa ikifanya kazi hiyo hapa nchini.
 Wageni wakimsikiliza kwa makini sana Mr Emmanuel Godfrey kujua kile ambacho kinafanyika hapa nchini kwenye miradi ya ufugaji wa samaki.
 Wageni na Mtaalamu wa miradi ya ufugaji wamaki mr Emmanuel Godfrey wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Picha ya moja ya bwawa ambalo kila mwananchini hususani wenye ardhi ya mfinyanzi wanaweza kufanya biashara hii bila gharama kubwa ya uendeshaji.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa