Tuesday, 31 May 2016

PATA HUDUMA YA UJENZI BORA WA MABWAWA YA KISASA KUTOKA AQUES LTD.

 Aques ltd ni kampuni ambayo imejikita sana katika ufugaji wa samaki na mazingira,lakini pia inajenga mabwawa ya kisasa na ukafuga samaki wako nyumbani ,hotelini au sahambani ili mradi wako uendane na mazingira ya aina ya mradi uwe wenye tija na kuvutia pia.
Katika huduma hii pekee utapata kujengewa na wataalamu waliobobea na wenye weredi wakazi hii kwa muda mrefu.

 unaweza kujenga mabwawa yako katika mfumo mbalimbali ili kuendana na hadhi ya nyumba yako au hoteli yako lakini pia utakuwa unajipatia kitoweo kizuri chenye rishe bora kwa muda wote baada ya samaki kukua vizuri.

Mabwawa  mengine pia ambayo kwa sasa wengi hujenga mabwawa haya ya shambani ,Aques ltd inajenga mabwawa haya katika kiwango bora na cha kisasa zaidi.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa