Monday, 30 May 2016

TAZAMA MRADI WA KISASA WA UFUGAJI WA SAMAKI UNAVYOFANYIKA.

Wakati wananchi wakijikita zaidi katika ufugaji wa samaki ,wenzetu wamepiga hatua kubwa kabisa katika ufugaji wa samaki ,wenzetu wamekuwa wakifanyia ndani ya jingo maalum na mitambo ya kisasa inayofanya ukuaji wa samaki kuwa kwa haraka zaidi.
Tujifunze zaidi kuhusu ufugaji wa samaki ili tupige hatua kubwa kama za hawa wenzetu.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa