Saturday, 28 May 2016

Tishio kwa kilimo cha Mwani Zanzibar

Ukulima wa mwani umekuwa na umuhimu mkubwa katika kuinua uchumi wa Zanzibar, lakini hivi sasa zao hili linaonekana kuwa hatarini kupotea.
Ajira za watu elfu ishirini na tatu, wengi wao wanawake, ziko hatarini. Jitihada za kufahamu nini hasa sababu kuu ya kupotea kwa zao hilo, baadhi ya wataalam wanasema mabadiliko ya tabia nchi huenda ndio chanzo.
AQUES LTD INAHAMASISHA JAMII NZIMA HASA ZILIZO KANDA ZA PWANI KUJIHUSOSHA KATIKA KILIMO HICHO KWANI NI MOJA YA SHUGHULI KUBWA KIUCHUMI HAPA NCHINI ENDAPO UWEKEZAJI MKUBWA UTAFANYIKA KAMA INAVYOFANYIKA KWA UPANDE WA SAMAKI.
AQUES LTD WAPO TAYARI KUSAIDIANA NA TAASISI YEYOTE KATIKA UWEKEZAJI WA KILIMO HIKI ILI JAMII IWE NA MWAMKO ZAIDI ILI KUONGEZA KIPATO BINAFSI NA TAIFA KWA UJUMLA.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Powered by Teknotaarifa